CECH KUTUA ARSENAL WIKI IJAYO, WALCOTT KUONGEZA MKATABA....

Saturday, 13 June 2015

Chelsea are reluctant to let the Czech keeper go, but could be persuaded for a few of over £10million

Klabu ya Arsenal itashinikiza kukamilisha usajili wa kipa Petr Cech kutoka klabu ya Chelsea ifikapo mwishoni mwa wiki ijao.

Na katika kuongeza zaidi, kunauwezekano mkubwa wa winga wa klabu hiyo Theo Walcott kuongeza mkataba klabuni hapo baada ya mazungumzo na klabu hiyo kuwa sawa.

Lakini kuinasa saini ya kipa Petr Cech kutawafurahisha wafuasi wa Arsenal.

Arsenal tayari imetuma maombi ya kumsajili kipa huyo kutoka katika klabu pinzani ya Chelsea, lakini mazungumzo yataendelea wiki ijayo.

Theo Walcott, who scored in the FA Cup final, is set to sign a new long-term deal with the north London club


0 comments:

Post a Comment