"KAMA RAMOS ATAJIUNGA NA MAN UTD, WATAKUWA NA BAHATI SANA"-RAMON CALDERON

Tuesday, 23 June 2015



Mchezaji wa zamani wa klabu ya Real Madrid Ramon Calderon anafikiria kuwa klabu ya Manchester United itakuwa imetumia hekima kumsajili Sergio Ramos...

"Sergio Ramos ni mfano kwa mashabiki wa Real Madrid. Ni kiongozi ndani na nje ya uwanja," alinukuliwa akiiambia TalkSPORT. "Sidhani kama ni beki bora wa kati duniani ila ni mmoja kati ya mabeki bora wa kati."

"Anaweza kucheza kama beki wa kulia, kama kiungo na alikuwa mshambuliaji kipindi anaanza soka. Ana tabia nzuri pia."

"Ngoja tuone ni nini kitatokea wiki chache zijazo. Kitakachotokea kitakuwa ni cha kushangaza. Kama Sergio atajiunga na Man United, watakuwa na bahati sana."

0 comments:

Post a Comment