DAVID BECKHAM AELEKEZA MAWAZO YAKE KATIKA NDONDI...

Tuesday, 23 June 2015

David Beckham wore Adidas gear which included gloves and blue trainers as he punched a boxing bag

David Beckham anaweza kuwa ametundika daruga zake lakini nahodha huyo wa zamani wa timu ya taifa ya Uingereza na klabu ya Manchester United ameonesha kuujali mwili wake baada ya kuhamishia nguvu zake katika mazoezi ya ndondi.

David mwenye umri wa miaka 40 alitangaza kustaafu mpira mnamo mwaka 2013 na sasa ni balozi wa mambo mbalimbali.

Hata hivyo, Beckham ameendelea kuujenga mwili wake na alituma picha katika ukurasa wake wa instagram kuthibitisha hilo.

The former England captain has recently returned from a trip to Cambodia where he met vulnerable children


0 comments:

Post a Comment