FAGIO LA UINGEREZA; HULL CITY KUWATEMA 13, CHELSEA MMOJA...

Thursday, 11 June 2015

Abou Diaby: On the release list for Arsenal

Vilabu vya Ligi Kuu Barani Ulaya vimewasilisha orodha ya majina ya wachezaji ambao watabaki kwenye vikosi vyao msimu ujao na wale ambao wataondolewa kwenye vikosi hivyo.

Ni muhimu kutambua kwamba pamoja na kwamba wachezaji hawa wapo kwenye orodha ya wachezaji watakaoondolewa haimaanishi kwamba wanaweza kuondoka. Inaweza kuwa kwamba mikataba yao na vilabu hivyo inaisha mwishoni mwa mwezi huu, Juni 30 na bado wanaweza kuongezewa.

Abou Diaby, kama ilivyotarajiwa, ni miongoni mwa wachezaji ambao wapo kwenye orodha ya kuondolewa na vilabu vyao baada ya kusumbuliwa na majeraha ya mara kwa mara.

Ron Vlaar pia ni miongoni mwa wachezaji waliokuwepo kwenye orodha ya kuondolewa klabuni lakini klabu yake imempatia mkataba mpya.

Hull City ni klabu inayongoza kwa kutoa wachezaji wengi, imetoa orodha yenye majina 13 ya wachezaji watakaoondolewa klabuni hapo, wakati Mabingwa wa ligi Chelsea wametoa jina la mchezaji mmoja tu, Didier Drogba .

Liverpool imethibitisha kuondoka kwa nahodha wao Steven Gerrard, Glen Johnson na kipa Brad Jones.

Gerrard atajiunga na klabu ya Los Angeles Galaxy mwezi ujao wakati klabu inayoonesha kuwa na mahusiano ya karibu na beki Glen Johnson ni Besiktas, timu iliyowaondoa wekundu hao kwenye mashindano ya Europa msimu uliopita.


Arsenal
Abou Diaby, Jack Jebb, Oluwasemilogo Adesewo Ajayi, Austin Lipman, Ryo Miyaichi, Brandon Ormonde-Ottewill, Josh Vickers
Aston Villa
Darren Bent, Graham Burke, Alfie Crooks, Christopher Herd, Craig Hill, Bradley Lewis, Isaac Nehemie, Daniel O'Brien, Enda Stevens, Thomas Strain, Ron Vlaar, Courtney Wildin
Burnley
Cameron Howieson, Steven Reid, Ross Wallace
Didier Drogba - the only player released by Chelsea
Didier Drogba - the only player released by Chelsea
Chelsea
Didier Drogba
Crystal Palace
Foluwashola Ameobi, Michael Chambers, Kyle De Silva, Stephen Dobbie, Owen Garvan, Brede Hangeland, Lewis Price, Peter Ramage, Ghassimu Sow, Jerome Thomas
Everton
Antolin Alcaraz, Sylvain Distin, George Green, Curtis Langton, John Lundstram, Ben McLaughlin
Hull City
Joseph Cracknell, Leon Dawson, Joseph Dudgeon, Maynor Figueroa, Stephen Harper, John Mahon, Jonathan Margetts, Eoghan McCawl, Paul McShane, Mark Oxley, Liam Rosenior, Yannick Sagbo, Sam Topliss
Leicester
Zoumana Bakayogo, Marcel Barrington, Adam Dawson, Paul Gallagher, Kieran Kennedy, Conrad Logan, Herve Pepe-Ngoma, Louis Rowley, Gary Taylor-Fletcher, Matthew Upson
Liverpool
Steven Gerrard, Glen Johnson, Brad Jones, Jordan Lussey, Marc Pelosi
Manchester City
Adam Drury, John Guidetti, Frank Lampard, Greg Leigh, Dominic Oduro, Micah Richards
Frank Lampard celebrates after scoring in his final game for Manchester City
Frank Lampard celebrates after scoring in his final game for Manchester City
Manchester United
Ben Amos, Tom Cleverley, Callum Evans, Ryan McConnell, Thomas Thorpe
Newcastle
Jak Alnwick, Adam Campbell, Jonas Gutierrez, Remie Streete, Ryan Taylor
QPR
Bruno Andrade, Joey Barton, Richard Dunne, Rio Ferdinand, Jordan Gibbons, Karl Henry, Aaron Lennox, Brian Murphy, Jamie Sendles-White, Shaun Wright-Phillips, Bobby Zamora
Artur Boruc: Made 37 appearances on loan at Bournemouth this season
Artur Boruc: Made 37 appearances on loan at Bournemouth this season
Southampton
Artur Boruc, Cody Cropper, Jos Hooiveld, Christopher Johns, Omar Rowe, Jake Sinclair
Stoke City
Oluwatomisin Adeloye, James Alabi, Samuel Coulson, Alexander Grant, Wilson Palacios, Robbie Parry, Nathan Ricketts-Hopkinson, Thomas Sorensen, Adam Thomas, Charlie Ward, Elliot Wheeler, Andrew Wilkinson
Sunderland
Wes Brown, Peter Burke, Andrew Cartright, Joel Dixon, Thomas McNamee, Anthony Reveillere
Swansea
Thomas Atyeo, David Cornell, Ruaridhri Donnelly, Corey Francis, Giancarlo Gallifuoco, Joseph Jones, Kurtis March, Curtis Obeng, Gareth Owen, Scott Tancock, Alan Tate, Gerhard Tremmel
Brad Friedel - leaving Tottenham Hotspur
Brad Friedel - leaving Tottenham Hotspur
Tottenham
Jordan Archer, Cristian Ceballos, Brad Friedel, Bongani Khumalo, Aaron McEneff, Alexander McQueen, Jonathan Miles
West Brom
Wesley Atkinson, Chris Baird, Aaron Birch, Jason Davidson, Bradley Garmston, Alexander Jones, Gareth McAuley, Youssouf Mulumbu, Mani O'Sullivan
West Ham
Kieran Bywater, Carlton Cole, Anderson De Carvalho, Guy Demel, Jussi Jaaskelainen, Sean Maguire, Paul McCallum, Daniel Potts

0 comments:

Post a Comment