MOHAMED SALAH AWALIZA WATANZANIA...

Monday, 15 June 2015



Timu ya Taifa ya Tanzania , Taifa Stars imeanza vibaya mechi za Kundi G kufuzu Fainali za Mataifa ya Afrika baada ya kufungwa mabao 3-0 na Misri usiku huu mjini Alexandria.
Mabao yote ya Misri yalipatikana kipindi cha pili, wafungaji Rabia dakika ya 61, Morsi dakika ya 65 na Mohamed Salah dakika ya 70.

0 comments:

Post a Comment