MATTEO DARMIAN KUFANYIWA VIPIMO VYA AFYA...

Friday, 10 July 2015

Matteo Darmian spoke to an Italian journalist before boarding a flight to Manchester on Friday

Kocha wa klabu ya Manchester United Louis Van Gaal amethibitisha kuwa beki wa klabu ya Torino Matteo Darmian atafanyiwa vipimo vya afya kabla ya kuhamia katika klabu hiyo kwa pauni milioni 12.9.

Mshambuliaji wa Manchester united Robin Van Persie tayari anaendelea na mazungumzo na klabu ya Fenerbahce na Van Gaal anasema:Iwapo tutahisi anaendelea vyema tutasema,lakini kufikia sasa hatuna hisia hiyo.

Darmian will undergo a medical at Carrington ahead of completing his move to the Premier League

Kuhusu uhamisho,aliongezea:''Nilisema mwishoni mwa msimu uliopita kwamba ununuzi wa wachezaji na uuzaji ni hatua. Hatua hiyo huendelea hadi mwezi Septemba.

''Naona kama uhamisho huo unachukua mda mrefu. Nimesema hivyo mara nyingi, hatahivyo tunaendelea vyema''.

0 comments:

Post a Comment