MAN UTD KUSAJILI WAWILI KWA MPIGO....

Tuesday, 11 August 2015



Timu ya manchester united inakaribia kumsajili kiungo Muargentina anayekipiga katika klabu ya Lazio Lucas Biglia kwa paund million 17.5m. 
Pia timu hiyo inatarajia kumtangaza Pedro wa Barceelona kama mchezaji wa halali wa Manchester united muda wowote kuanzia sasa. Pedro Rodriguez atacheza mchezo wake wa mwisho akiwa na jezi ya Barcelona leo katika mtanange wa super cup dhidi ya Sevilla ya Hispania.

0 comments:

Post a Comment