BACARY SAGNA KATIKA MUONEKANO MPYA...

Monday, 22 June 2015

Manchester City defender Bacary Sagna was sporting a new look as he soaked up the sun with wife Ludivine

Beki wa klabu ya Manchester City Bacary Sagna amepiga picha katika muonekano mpya akiwa amezinyoa rasta zake huko mjini Ureno ambako yupo mapumzikoni na familia yake.

Beki huyo ambaye alifanikiwa kucheza mechi tisa tu msimu uliopita ameamua kuwaonesha mashabiki wake muonekano huo mpya baada ya kupiga picha akiwa na mkewe Ludivine ambae alizituma katika mitandao ya kijamii.

The former Arsenal right back, seen her chasing down Valdet Rama, played in France's 1-0 defeat by Albania 

0 comments:

Post a Comment