CHELSEA YAFANYA USAJILI WA KWANZA LEO

Thursday, 11 June 2015

FOTBAL - UNDER 17 - SERBIA - ROMANIA

Chelsea wameripotiwa kukamilisha usajili wa kwanza majira ya kiangazi mwaka huu wakiinasa saini ya mlinzi wa miaka 17, raia wa Romania,  Cristian Manea.
Mkurugenzi mkuu wa  FC Viitorul Constanța amethibitisha usajili huo leo asubuhi kupitia vyombo vya habari kama inavyoonekana chini;

Emanuel Roşu @Emishor
Breaking: Viitorul’s CEO confirmed Manea’s move to Chelsea and Ianis Hagi’s leave for Fiorentina! #CFC
11:19 AM – 11 Jun 2015
 
Emanuel Roşu @Emishor
What a good player Chelsea bought. Cristi Manea is a fantastic talent. Can play at RB, CB and DM. Very smart, very good with the ball.
2:43 PM – 11 Jun 2015

Imeelezwa kwamba, mlinzi huyo wa kulia atapelekwa kwa mkopo katika klabu ya Vitesse kwa msimu wa 2015/2016.
Kijana huyo mdogo wa Romania anakuwa miongoni mwa vijana wadogo waliojiunga na Chelsea, ingawa haingii kwenye kikosi cha kwanza.

0 comments:

Post a Comment