DE GEA KUIDAKIA REAL MADRID MSIMU UJAO...

Wednesday, 10 June 2015



Klabu ya Real Madrid ipo kwenye makubaliano ya mwisho ya kumnyakuwa kipa bora wa klabu ya Manchester United.

Miamba hiyo ya Hispania italipa dau la pauni 18.3 milioni pamoja na dau la pauni 3.6 milioni kama nyongeza kwa ajili ya kumpata mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 24.

David de Gea
Footballer
David de Gea Quintana is a Spanish professional footballer who plays as a goalkeeper for English club Manchester United and for the Spanish national team. 
Born: November 7, 1990 (age 24), Madrid, Spain
Height: 1.91 m
Weight: 76 kg
Parents: Jose De Gea
Salary: 3.9 million GBP (2014)
Current teams: Spain national football team (Goalkeeper), Manchester United F.C. (#1 / Goalkeeper)

0 comments:

Post a Comment