MANDZUKIC KUTUA MANCHESTER UNITED

Wednesday, 10 June 2015



Klabu ya Manchester United inakaribia kuipata saini ya mshambuliaji wa Atletico Madrid Mario Mandzukic. Mashetani hao wa jiji la Manchester walikuwa na mpango wakumchukua mshambuliaji wa Sevilla Carlos Bacca, lakini kocha wa Manchester United Louis Van Gaal ameamua kwamba anamtaka mcroatia huyo katika klabu yake.

0 comments:

Post a Comment