PETR CECH ATUA RASMI ARSENAL...

Monday, 29 June 2015

Arsenal wamekamilisha usajili wa golikipa Petr Cech kutoka Chelsea kwa mkataba wa muda mrefu kwa ada isiyojulikana.

Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 33 alikamilisha taratibu za matibabu siku ya Ijumaa na atakuwa anapokea mshahara wa £100,000 kwa wiki, moja kwa moja atakuwa mchazaji anayelipwa pesa nyingi sambamba na Mesut Ozil pamoja na Alexis Sanchez.


















0 comments:

Post a Comment