DE GEA: "NIACHENI NIENDE..."

Friday, 12 June 2015



Mchezaji wa klabu ya Manchester United David De Gea ameuomba uongozi wa klabu hiyo kujiunga na klabu ya Real Madrid ambayo imeonesha nia ya kumsajili golikipa huyo.

Miamba hao wa Hispania wameandaa dau la pauni milioni 25 kumng'oa mlinda mlango huyo wa mashetani wekundu.

0 comments:

Post a Comment