STERLING ATUA MANCHESTER CITY RASMI, APEWA JEZI NAMBA SABA...

Thursday, 16 July 2015

Every major transfer of the summer

Baada ya vuta nikuvute ya muda mrefu dhidi ya klabu yake ya Liverpool huku akitishia kufanya mgomo kuishinikiza klabu yake kumuuza  sasa Raheem Sterling atia saini katika kilabu cha Manchester City kwa ada ya euro milioni 70 (£49 milioni).

Mchezaji huyo wa kiingereza mwenye umri wa miaka 20 ameivunja rekodi ya usajili ya wachezaji wa kiingereza ya wakati wote.


0 comments:

Post a Comment