WOLFSBURG WAKATAA OFA YA MAN CITY, DE GEA KUBADILISHWA NA RAMOS...

Wednesday, 8 July 2015

Wolfsburg wakataa kupokea ofa yoyote toka kwa Manchester City juu ya Kevin De Bruyne

Wolfsburg wamekanusha taarifa kwamba Manchester wametoa ofa juu ya mchezaji huyo, lakini tetesi zinasema mchezaji huyo ni moja kati ya wachezaji wanaosakwa kwa udi na uvumba na matajiri hao wa Mnachester

Manchester United wataka kubadilishana De Gea na Ramos


Man Utd wanataka wapewe Ramos katika uhamisho wa De Gea, Manchester United wameshusha dau wanalotaka hadi €35 million (£24.9m) ili kumuuza David De Gea lakini hii ni iwapo tu Madrid watakubali kuwauzia Sergio Ramos

0 comments:

Post a Comment