MAN UTD YATANGAZA UZI MPYA UTAKAOVALIWA MECHI ZA NYUMBANI

Saturday, 1 August 2015

Ashley Young; Juan Mata; Daley Blind Manchester United 2015-16 home kit

Huu ndio uzi mpya utakaotumiwa na klabu ya Manchester United ya Uingereza kwa Mechi za Nyumbani kwa msimu wa 2015-2016 ambao unaonesha mwanzo wa mkataba wa miaka 10 wenye thamani ya pauni milioni 750. 

0 comments:

Post a Comment